Connect with us

AUDIO | Eloi Praise Team – Nakutazama Wewe ft. Ritha Komba

Music

AUDIO | Eloi Praise Team – Nakutazama Wewe ft. Ritha Komba

AUDIO | Eloi Praise Team - Nakutazama Wewe ft. Ritha Komba

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tumekusogezea wimbo mzuri wa Ibada unaoitwa Nakutazama Wewe kutoka kwa kundi la kusifu na kuabudu Eloi Praise Team wakiwa na mama mtumishi Ritha Komba.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Eloi Praise Team wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Eloi Praise Team
Instagram: @eloipraiseteam
Youtube: Eloi Center Ministry

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top