Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Elishadai – Adili Wilson ft. David Imani

Audio

AUDIO | Elishadai – Adili Wilson ft. David Imani

AUDIO | Elishadai - Adili Wilson ft. David Imani

Kutoka nchini Nigeria kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mtumishi wa Mungu Adili Wilson Matontu mwenye asili ya Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Elishadai akiwa amemshirikisha David Imani.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Adili Wilson wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +234 810 499 7034
Instagram: @amatontu
Youtube: Adili’s Ministry

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,503 other subscribers

To Top