Audio
AUDIO | Dorcas Mayala – Jina Lako
Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Dorcas Mayala na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Jina Lako.
Karibu kusikiliza wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na Dorcas Mayala wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 713 345 460
Facebook: Dorcas Mayala
Instagram: @dorcasmayala
Youtube: Dorcas Mayala
