Connect with us

Gospomedia

AUDIO | Christina Tossy – Sikati Tamaa ft. Alex Mkamanga

Audio

AUDIO | Christina Tossy – Sikati Tamaa ft. Alex Mkamanga

AUDIO | Christina Tossy - Sikati Tamaa ft. Alex Mkamanga

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Christina Tossy na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Sikati Tamaa akiwa amemshirikisha Alex Mkamanga.

“Ujumbe wa wimbo unaelezea jinsi ambavyo hutakiwi kukata tamaa katika maisha kwani Mungu yuko pamoja nawe na hujibu kwa wakati wake….hivyo utabarikiwa sana kupitia ujumbe wa wimbo huu, Amen.”

Karibu kusikiliza huu wimbo na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Christina Tossy wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 880 310
Facebook: Christina Tossy
Instagram: @christinatossy
Youtube: Christina Tossy

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top