Connect with us

AUDIO | Baisa Mhela – Mengine Ni Wivu Tu

Music

AUDIO | Baisa Mhela – Mengine Ni Wivu Tu

AUDIO | Baisa Mhela - Mengine Ni Wivu Tu

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo unaoitwa Mengine Ni Wivu Tu kutoka kwa Baisa Mhela.

“Kuna vzuri vingi sana tunavitamani kuvipata na tunamwomba Mungu lakini yeye ni mwema huwa ametuandalia vzuri zaidi ya tutakavyo ndo maana nakuambia mshukuru Mungu na nyeyekea kwa kuwa mengine ni wivu tuu unayoyatamani tambua Mungu amekuandalia mazuri zaidi ya hayo.” – Baisa Mhela

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Baisa Mhela wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 652 155 399
Facebook: Baisa Mhela
Instagram: @baisamhela
Twittter: @baisamhela
Youtube: Baisa Mhela

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top