Connect with us

AUDIO | ABELY MWAKUNA – USIWE NA PAPARA

AUDIO | ABELY MWAKUNA - USIWE NA PAPARA

Music

AUDIO | ABELY MWAKUNA – USIWE NA PAPARA

AUDIO | ABELY MWAKUNA - USIWE NA PAPARA

Kutoka jijini Mbeya Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako ABELY MWAKUNA na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa USIWE NA PAPARA.

“USIWE NA PAPARA ni wimbo wa injili nikiwakumbusha watu kuwa na subira wakati wa kutafuta mafanikio.” – alisema ABELY MWAKUNA

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Abely Mwakuna wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 768 277
Facebook: Abely Mwakuna
Instagram: @abelymwakuna
Youtube: Abely Mwakuna

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top