Connect with us

Gospo Media

10 Bora Zilizopendwa Zaidi Oktoba 2019

Audio

10 Bora Zilizopendwa Zaidi Oktoba 2019

10 Bora Zilizopendwa Zaidi Oktoba 2019

Bwana Yesu asifiwe! Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea nyimbo kumi bora zilizopendwa zaidi mwezi Oktoba 2019 kupitia majukwaa mbalimbali ya mtandaoni ikiwemo YouTube bila kusahau jukwaa la gospomedia.com, Karibu!

1. Yesu Karibu Kwangu – Rose Muhando
2. Bado – Bahati and Denno
3. Nasema Asante – Chris Mwahangila
4. Wonderful – Mercy Masika
5. Burudani Moyoni – Neema Gospel Choir
6. Hakuna Kama Wewe Mungu – Chris Mwahangila
7. Chachisha – David Wonder
8. Salama – Calvin john
9. Watakuheshimu – Aniset Butati ft. Bonny Mwaitege
10. Siri Yangu – Veronica Frank

Ni matumaini yetu kuwa kila wimbo tuliouweka hapa utaufurahia na kukubariki, kumbuka Yesu anakupenda, Amen.

Kwa updates nyingi zaidi usiache kutembelea kurasa za mitandao yetu ya kijamii::
Facebook: GOSPO MEDIA
Instagram: @gospomedia
YouTube: Gospo Media

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top