Connect with us

VIDEO: Yusuph Manamba – Naenda Nawe | Download

VIDEO: Yusuph Manamba - Naenda Nawe | Download

Audio

VIDEO: Yusuph Manamba – Naenda Nawe | Download

VIDEO: Yusuph Manamba - Naenda Nawe | Download

Mwimbaji na mtayaarishaji mahiri wa nyimbo za Injili Yusuph Manamba akitokea nchini Tanzania leo ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa Naenda Nawe ikiwa ni zawadi maalumu kwa wapenzi wa muziki wa Injili ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake.

“Naenda Nawe Ni wimbo uliobeba ujumbe kwa mtu husika anayezungumza na Mungu kuhusu safari ya Maish.” – Yusuph alisem

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Enjoy!

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Yusuph Manamba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 980 644
Facebook: Yz Manamba Zacharia
Instagram: @yz_manambatz
Youtube: Yuzoh Manamba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top