Connect with us

Gospomedia

VIDEO: Sarah Ndosi ft. Nelly Music – MEMA | Download

Video

VIDEO: Sarah Ndosi ft. Nelly Music – MEMA | Download

VIDEO: Sarah Ndosi ft. Nelly Music - MEMA | Download

Kwa mara nyingine tena Tanzania mwimbaji wa nyimbo za Injili Sarah Ndosi ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa MEMA akiwa amemshirikisha Nelly Music.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Sarah Ndosi kupitia
Simu/WhatsApp: +255 656 521 114
Facebook: Sarah Ndosi
Instagram: @sarandosi
Youtube: Sarah Ndosi
Website: www.sashi.co.tz⁠⁠⁠⁠

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top