Connect with us

VIDEO: Ritha Komba – Agano | Downlaod

Video

VIDEO: Ritha Komba – Agano | Downlaod

AGANO ni video mpya ya wimbo mzuri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Ritha Komba ambaye anaandika historia nyingine kubwa kwa kuachia video hii njema na yenye kiwango cha hali juu zaidi.

“The song AGANO inspired by Isaiah 55:11 Isaiah 55:11 So is my word that goes out from my mouth : It will not return to me empty, but will accomplish what I desire and achieve the purpose for which I sent it. ” – Ritha Komba

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mialiko ya kihuduma wasiliana na Ritha Komba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba
outube: Ritha Komba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top