Connect with us

VIDEO: Nissi Band – Mtoshelezaji | Download

Video

VIDEO: Nissi Band – Mtoshelezaji | Download

VIDEO: Nissi Band - Mtoshelezaji | Download

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka 2019 tunawatambulisha kwako Nissi Band na hii ni video ya wimbo wao mpya unaoitwa Mtoshelezaji.

Mtoshelezaji ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye mradi wa muziki(project) unaobebwa kwa jina la WE PRAY (Prayer Movement through Music) ikiwa na mkusanyiko wa nyimbo 20 zikiwa kwenye mkazo na msisitizo wa maombi kupitia muziki.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Nissi Band wasiliana nao kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 795 657
Facebook: NissiBandtz
Instagram: @nissibandtz
Twitter: @nissiband_tz
Youtube: NissiBand TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,401 other subscribers

To Top