Connect with us

Gospo Media

VIDEO: Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) – Miriam Nsanya | Download

VIDEO: Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) - Miriam Nsanya | Download

Music

VIDEO: Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) – Miriam Nsanya | Download

VIDEO: Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) - Miriam Nsanya | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwanadada Miriam Nsanya ambaye hivi karibuni ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa Nashangazwa (Sijawahi Weza Bila Wewe) ikiwa ni marudio(cover) ya wimbo uliowahi kuimbwa na Dr. Ipyana kutoka kwenye albamu yake ya IBADA.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Miriam Nsanya wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 791 630
Facebook: Miriam Nsanya
Instagram: @miriam_nsanya
Youtube: Miriam Nsanya

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Daniel Maguge

Music

DANIEL MAGUGE EP

By January 19, 2021

TRENDING

To Top