Connect with us

Gospomedia

VIDEO: Mercy Masika – Wonderful | Download

Video

VIDEO: Mercy Masika – Wonderful | Download

VIDEO: Mercy Masika - Wonderful | Download

Mwimbaji maarufu kutoka nchini Kenya Mercy Masika ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa Wonderful.

Video hii imeongozwa na Steve Hunter, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Nqubeko Mbatha.

Karibu kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki na kukugusa kila siku, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: MercymasikaKE
Instagram: @mercymasikamuguro
Twitter: @mercymasika
YouTube: Mercy Masika

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top