Connect with us

VIDEO: JRutta – Tembea na Yesu | Download

Video

VIDEO: JRutta – Tembea na Yesu | Download

VIDEO: JRutta - Tembea na Yesu | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena leo tunaitambulisha kwako video mpya ya wimbo unaoitwa Tembea na Yesu kutoka kwa Jackson Rutta (JRutta).

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na ni hakika kuwa itakubariki na kukuinua kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jackson Rutta wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 767 514 515
Facebook: Jackson Rutta (JRutta)
Instagram: @officialjrutta
Youtube: Jrutta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top