Connect with us

VIDEO: John Kavishe – Mwanakondoo | Download

Video

VIDEO: John Kavishe – Mwanakondoo | Download

VIDEO: John Kavishe - Mwanakondoo | Download

John Kavishe ni moja kati ya waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania waliobarikiwa uwezo mkubwa wa kutumia sauti yao vyema kumwimbia Mungu na kwa mara ya kwanza tumekusogezea video mpya kabisa ya wimbo unaoitwa MWANAKONDOO.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na John Kavishe wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 782 547 402
Facebook: John Kavishe
Instagram: @johny_kavishe
Youtube: John Kavishe

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top