Connect with us

Gospo Media

VIDEO: Elias Jacob – Robot | Download

Video

VIDEO: Elias Jacob – Robot | Download

VIDEO: Elias Jacob - Robot | Download

Kutoka jijini Mwanza kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Elias Jacob mwimbaji wa nyimbo za Injili  Tanzania na hii ni video yake mpya na ya kwanza kuachia ya wimbo unaoitwa ROBOT.

“Kuna msukumo flani niliupata na kuandika huu wimbo kutokana na baadhi ya watu kuna hasa wakristo wanafanya vitu na mambo mabaya mabaya kama wanaindeshwa na mifumo ya kiroboti kwenye akili zao maana si kawaida na mpango wa Mungu katika maisha, Napenda kuwakumbusha vijana ambao hawajaokoka hebu waache dhambi waanze upya maana Yesu yu karibu kuja je umeshajiuliza utakaa upande gani? #ROBOT – Elias Jacob alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuna jambo kubwa la kujifunza, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na Elias Jacob wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 763 781 041
Facebook: Elias Jacob
Instagram: @official_eliasjacob_tz
Youtube: Elias Jacob

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top