Connect with us

VIDEO: Eben – Agunechemba ft. Phil Thompson | Download

Video

VIDEO: Eben – Agunechemba ft. Phil Thompson | Download

VIDEO: Eben - Agunechemba ft. Phil Thompson | Download

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea video ya wimbo mzuri unaoitwa Agunechemba kutoka kwa Eben akiwa amemshirikisha Phil Thompson.

Wimbo huu ulirekodiwa live kwenye tamasha la Eben’s Joyful Noise concert lililofanyika Lekki nchini Nigeria Septemba 15, 2019.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao tunaamini utakubariki na kukuinua, Amen.

Social Media
Instagram: @eben_rocks
Twittter: @eben4u
Youtube: OfficialEben

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top