Connect with us

VIDEO: Calvin john – Salama

Video

VIDEO: Calvin john – Salama

VIDEO: Calvin john - Salama | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Dar es salaam leo tumekudondoshea video mpya ya wimbo unaoitwa SALAMA kutoka kwa mkali wa sauti za Ki-injili Calvin John.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Calvin John wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 676 154 912
Facebook: Calvin John
Instagram: @calvinjohn_official
Youtube: Calvin John

2 Comments

2 Comments

  1. Naidy

    February 20, 2020 at 3:10 pm

    Wew mdad unazingu wa2 2najua video kumb ni audio

  2. Lads

    February 21, 2020 at 1:16 pm

    Mbona video ipo mpendwa au unataka kuipakua ubaki nayo ikiwa sio yako? mpe sapoti kwa kusubscribe na kutazama tu video yake youtube si vyema kuchukua video zao bila idhini yao, wimbo tumekuwekea hapo upakue bure kabisa, ila kama unataka kupakua mpaka video utakuwa huna tofauti na mwizi.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top