Connect with us

VIDEO: Aaron K – KUMBUKA | Download

Video

VIDEO: Aaron K – KUMBUKA | Download

VIDEO: Aaron K - KUMBUKA | Download

KUMBUKA ni video mpya kabisa kutoka kwa Aaron K mwimbaji wa nyimbo za Injili akitokea jijini Dar es salaam, Tanzania.

“SHALOM! KWA NEEMA YA MUNGU NAKUKARIBISHA KUTAZAMA WIMBO HUU HAKIKA UTAKUBALIKI. WIMBO HUU UNA UJUMBE WA KUKUMBUKA YALE MUNGU AMEFANYA KWENYE MAISHA YETU.. HIVYO YATUPASA KUKUMBUKA NA KUMSHUKURU MUNGU KWA HAYO. BARIKIWA. SHARE NA MARAFIKI WA BARIKIWE PIA! GOD BLESS YOU” – Aaron K alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri uliobeba ujumbe wa pekee na ni hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Aaron K kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 836 372
Facebook: Aaron-K
Instagram: @aaron_k_official
Youtube: Aaron K Official TZ

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top