Connect with us

Audio: Teddy Alphonce – Shukrani | Download

Audio

Audio: Teddy Alphonce – Shukrani | Download

Audio: Teddy Alphonce - Shukrani | Download

Kutoka mjini Singida kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Teddy Alphonce mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Shukrani.

“Huu ni wimbo wa kushukuru wema wa Mungu maishani, mambo makuu anayoyatenda kwetu pasipo sisi kusumbuka na lolote, ila yeye bado anatenda tu; Ubeti wa 1; umezungumzia luku ya nuru, na mambo ya bili ya uhai Nuru ambayo tunaitumia sisi itokanayo na binadamu mfano. Umeme nahisi gharama twaijua na pamoja na gharama zake bado kuna muda unakata pasipo kujali umelipia, unashughuli gani hilo halipo, lakini vipi kuhusu jua na mwezi likiwaka kama ni mchana nani anaeweza kujiamulia aka-switch off hajisikii hayupo, Kuhusu bili ya uhai; kosa kupumua dakika 1 au 2 upelekwe hospital utumie mashine ya oksijeni kwa saa hata moja tu gharama yake iko vipi?? Lakini how about kuamka, kushinda, kulala tunapumua tu hata mia hatutoi, na hatujui inapulizwa kutoka wapi? Nani ashukuriwe ?? Mungu atukuzweee; Amen” – Teddy alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Teddy Alphonce wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 756 942 802
Facebook: Teddy Alphonce
Instagram: @teddyalphonce
Twitter: @teddyalphonce

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top