Connect with us

AUDIO: Ritha Komba – Agano | Download

Music

AUDIO: Ritha Komba – Agano | Download

AUDIO: Ritha Komba - Agano | Download

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena tumekusogezea wimbo mpya unaoitwa AGANO kutoka kwa mtumishi wa Mungu Ritha Komba akiwa moja kati ya waimbaji wanaoendelea kufanya vizuri zaidi nchini Tanzania.

“Isaiah 55:11 So is my word that goes out from my mouth : It will not return to me empty, but will accomplish what I desire and achieve the purpose for which I sent it. Ndivyo litakavyo kua neno langu, litokalo katika kinywa changu halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyo lituma.” – Ritha Komba

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mialiko ya kihuduma wasiliana na Ritha Komba kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 712 496 727
Facebook: Ritha Komba
Instagram: @rithakomba
Youtube: Ritha Komba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top