Connect with us

AUDIO: Katherine Eden – Haufananishwi | Download

Audio

AUDIO: Katherine Eden – Haufananishwi | Download

AUDIO: Katherine Eden - Haufananishwi | Download

Kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Katherine na huu ni wimbo wake mzuri wa kuabudu unaoitwa HAUFANANISHWI.

“Mungu ni mwema sana na namshukuru kwa neema hii, Ninatumaini wimbo huu utakupa tafakari juu ya ukuu wa Mungu na uweza wake, nguvu zake na upendo wake kwetu, Yeye hafananishwi wala habadiriki. Ubarikiwe sana.” – Katherine Eden

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Connect with Katherine Eden on social media:
Facebook: Katherine Eden
Instagram: @katherineeden_official
YouTube: Katherine Eden

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top