Connect with us

Gospo Media

AUDIO: Jimmy Gospian – Refresh | Download

Audio

AUDIO: Jimmy Gospian – Refresh | Download

AUDIO: Jimmy Gospian - Refresh | Download

Baada ya kimya cha muda wa takribani mwaka mmoja mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza Jimmy Gospian amevunja ukimya wake kwa kuachia wimbo mpya kabisa unaoitwa REFRESH.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jimmy Gospian wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 759 950 978
Facebook: Jimmy Gospian
Instagram: @jimmy_gospian
Youtube: jimmy gospian

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top