Connect with us

AUDIO: Gadi Edio – Wanashangaa | Download

AUDIO: Gadi Edio - Wanashangaa | Download

Audio

AUDIO: Gadi Edio – Wanashangaa | Download

AUDIO: Gadi Edio - Wanashangaa | Download

Kutoka jijini Arusha kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Gadi Edio mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa Wanashangaa.

“Maranyingi kuna watu hupenda kuona ukipata shida na pengine utoweke duniani ilimradi nafsi zao zifurahi lakini Mungu hufanya tofauti na wanabaki #WANASHANGAA. Sikiliza na usisahau kushirikisha ndugu zako wakaribu ili wimbo huu uweze kuwatia moyo, Amen.” – Gadi Edio

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Gadi Edio wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 765 276 469
Facebook: Gadi Edio
Instagram: @gadiedio
Youtube: Gadi Edio

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top