Connect with us

Gospo Media

AUDIO: Fredrick Jacob – Mwili Wangu | Download

Audio

AUDIO: Fredrick Jacob – Mwili Wangu | Download

AUDIO: Fredrick Jacob - Mwili Wangu | Download

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia wimbo unaoitwa WANGU NI YESU kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Fredrick Jacob ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Mwili Wangu huu ukiwa ni wimbo wa pili kuachia katika mwaka 2019.

Karibu kusikiliza wimbo huu uliobeba ujumbe mzuri kwa ajili yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Fredrick Jacob wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 754 537 060
Instagram: @official_fedrickjacob
Youtube: Official fredrick Jacob

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top