Connect with us

AUDIO: Fred Msungu With Friends – Nisaidie | Download

Audio

AUDIO: Fred Msungu With Friends – Nisaidie | Download

AUDIO: Fred Msungu With Friends - Nisaidie | Download

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu Fred Msungu kwa mara ya kwanza tunautambulisha kwako wimbo wake mpya unaoitwa NISAIDIE.

Wimbo wa NISAIDIE ni wimbo ambao nimeshirikiana na marafiki zangu akiwemo Ambwene Mwasonge, The voice, Eliya Mwantondo, Beda Andrew, Nsajigwa Modecai na Peace Mbogo. NISAIDIE ni wimbo ambao unalenga kumtia moyo mtu ambaye amekata tamaa, amekataliwa, kuumizwa na kukosa msaada. Pamoja na hayo yote bado unaweza kumwamini Mungu akakuinua tena, kuondoa maumivu yako na kukupa sababu ya kuishi kwa ushindi tena. Haijalishi unapitia wakati mgumu kiasi gani omba maombi haya rahisi pamoja na mimi mwambie Mungu “NISAIDIE” – Pastor Fred Msungu alisema

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Fred Msungu wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 653 318 117
Facebook: Fred Msungu
Instagram: @fred_msungu
Twitter: @daudimwanisenga
Youtube: Fred Msungu

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top