Connect with us

AUDIO: Erick Kisindja – Yesu ni Nuru Yangu | Download

AUDIO: Erick Kisindja - Yesu ni Nuru Yangu | Download

Audio

AUDIO: Erick Kisindja – Yesu ni Nuru Yangu | Download

AUDIO: Erick Kisindja - Yesu ni Nuru Yangu | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Nairobi Kenya leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa YESU NI NURU YANGU kutoka kwa mwimbaji na mhubiri Erick Kisindja.

(Yohana 12: 46) Kwanza namshukuru Mungu Baba kwa kutuwezesha kukamilisha wimbo wa Yesu ni Nuru Yangu. Bwana Yesu kristo alikuja duniani ili atupe NURU tusienende tena gizani, tusipotee njia na tusihukumiwe bali tuwe na uzima wa milele.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mtumishi wa Mungu Erick Kisindja kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 758 075782
Facebook: ERICK Kisindja
Instagram: @henriquesdasilva
Youtube: Erick Kisindja

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top