Connect with us

AUDIO: Daniel Kaicy ft. Rogate Kalengo – UNATAWALA | Download

Audio

AUDIO: Daniel Kaicy ft. Rogate Kalengo – UNATAWALA | Download

AUDIO: Daniel Kaicy ft. Rogate Kalengo - UNATAWALA | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Daniel Kaicy na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa UNATAWALA akiwa amemshirikisha mkali wa sauti Rogate Kalengo.

“Mungu wetu ni pekee anayetawala Mbinguni na Duniani na anayestahili kuabudiwa. Wimbo huu unaachilia nafasi ya kumuabudu Mungu kwa ukuu wake na kuzisifu ajabu zake, Naamini Wimbo huu utakubariki.” – Daniel Kaicy

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utakubariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Daniel Kaicy wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 658 834 912
Facebook: Daniel Kaicy
Instagram: @danielkaicy
Youtube: Daniel Kaicy

1 Comment

1 Comment

  1. Anonymous

    January 19, 2020 at 8:57 am

    good song

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top