Connect with us

AUDIO: Chris Mwahangila – HAKUNA KAMA WEWE MUNGU | Download

Audio

AUDIO: Chris Mwahangila – HAKUNA KAMA WEWE MUNGU | Download

AUDIO: Chris Mwahangila - HAKUNA KAMA WEWE MUNGU | Download

Christopher Mwahangila ni moja kati ya waimbaji wakongwe katika tasnia ya muziki wa Injili Tanzania na kwa mara ya kwanza katika Mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya unaoitwa HAKUNA KAMA WEWE MUNGU.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki na utakiri kuwa HAKUNA KAMA MUNGU, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Christopher Mwahangila wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 620 000 au +255 756 068 844
Facebook: Christopher Mwahangila
Instagram: @mwahang
Youtube: Chris Mwahangila

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top