Connect with us

Gospo Media

AUDIO: Anitha Kiliba – U Mwema | Download

Audio

AUDIO: Anitha Kiliba – U Mwema | Download

AUDIO: Anitha Kiliba - U Mwema | Download

Kutoka jijini Mwanza leo kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Anitha Kiliba mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania na huu ni wimbo wake mpya unaoitwa U Mwema.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Anitha Kiliba wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 719 734 586
Facebook: Anitha Kiliba
Instagram: @anitha_kiliba
Youtube: Anitha kiliba

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top