Connect with us

AUDIO | Aniset Butati ft. Bonny Mwaitege – Watakuheshimu

Music

AUDIO | Aniset Butati ft. Bonny Mwaitege – Watakuheshimu

AUDIO | Aniset Butati ft. Bonny Mwaitege - Watakuheshimu

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Aniseti Butati ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Watakuheshimu akiwa amemshirikisha mkongwe Bonny Mwaitege.

Karibu kusikiliza wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Aniset Butati kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 675 197 388
Facebook: Aniset Butati
Instagram: @anisetbutati
Youtube: Aniset Butati

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,645 other subscribers

To Top