Connect with us

VIDEO: We Are The Same – Paul Clement ft J.Lwaga, A.Magoti, C.John, Zoravo, J.Kavishe and The Voice

VIDEO: We Are The Same - Paul Clement ft J.Lwaga, A.Magoti, C.John, Zoravo, J.Kavishe and The Voice

Music

VIDEO: We Are The Same – Paul Clement ft J.Lwaga, A.Magoti, C.John, Zoravo, J.Kavishe and The Voice

VIDEO: We Are The Same - Paul Clement ft J.Lwaga, A.Magoti, C.John, Zoravo, J.Kavishe and The Voice

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena Paul Clement ameachia video mpya ya wimbo unaoitwa We Are The Same akiwa ameshirikiana na waimbaji kama vile Joel Lwaga, Angel Magoti, Calvin John, Zoravo, John Kavishe na The Voice.

“Wimbo huu unaenda kwa jina la WE ARE THE SAME umeandikwa na mimi mwenyewe Paul Clement nikishirikiana na mke wangu Anna Clement, Pamoja na waimbaji wengine Lengo ni kuwakubumbusha watu maana halisi ya upendo kwa maana tumeumbwa kwa mfano wa Mungu hivyo sisi sote ni sawa tupendane, Barikiwa.” – Paul Clement alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa na kuguswa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Paul Clement kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 661 862 au +255 719 367 002
Facebook: Paul Clement
Instagram: @minister_paulclement
YouTube: Paul Clement

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top