Connect with us

VIDEO: Theofrida Gervas – Ananiwazia Mema | Download

Video

VIDEO: Theofrida Gervas – Ananiwazia Mema | Download

VIDEO: Theofrida Gervas - Ananiwazia Mema | Download

Baada ya kimya cha takribani mwaka mmoja mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Theofrida Gervas amerudi tena kwa upya kwa kuachia video mpya na nzuri ya wimbo unaoitwa Ananiwazia Mema.

”Ananiwazia Mema Ni wimbo unaotukumbusha kuwa Mungu anatuwazia mema haijalishi tunapitia katika hali gani.” – Theofrida Gervas.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utakubariki na kukuinua kila wakati, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Theofrida Gervas kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 605 377
Facebook: Theofrida Gervas
Instagram: @theofridagervasofficialtz
Youtube: theofrida gervas

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top