Connect with us

VIDEO: T More – Njia Moja | Download

Video

VIDEO: T More – Njia Moja | Download

VIDEO: T More - Njia Moja | Download

Kutoka jijini Arusha Tanzania kwa mara nyingine tena tumeisogeza kwako video mpya ya wimbo unaoitwa NJIA MOJA kutoka kwa rapa wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la T-More.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na rapa T-More wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 816 254
Instagram: @tmore_kimrapper
Youtube: T-more kimrapper

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,679 other subscribers

To Top