Connect with us

VIDEO: Pamsam ft. Sammy Rodin – I BLESS | Download

Video

VIDEO: Pamsam ft. Sammy Rodin – I BLESS | Download

VIDEO: Pamsam ft. Sammy Rodin - I BLESS | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara nyingine tena tumekusogezea video(live version) mpya ya wimbo wa sifa unaoitwa I BLESS kutoka kwa mwanamama Pamsam akiwa amemshrikisha mume wake Pastor Sam (Sammy Rodin) pamoja na kundi la kusifu na kuabudu linalojulikana kama The NextlevelTz.

I BLESS ni moja kati ya nyimbo zinapatikana kwenye albamu yake mpya ya We Have Come To Praise You ambayo aliizindua miezi michache iliyopita.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Pamsam kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Pamsam

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top