Connect with us

Gospo Media

VIDEO: Nanyosha Mikono – Faraji Mwizagi | Download

VIDEO: Nanyosha Mikono - Faraji Mwizagi | Download

Music

VIDEO: Nanyosha Mikono – Faraji Mwizagi | Download

VIDEO: Nanyosha Mikono - Faraji Mwizagi | Download

FARAJI MWIZAGI ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam Tanzania na hii video yake mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa NANYOSHA MIKONO.

“The song NANYOSHA MIKONO is the declaration song dedicated by the minister Faraji Mwizagi to the whole world. Its the good news to all people reminding all generations how mighty our God is. Proverbs 11-5-11.” – Faraji

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na FARAJI MWIZAGI wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 675 081 152
Instagram: @farajimwizagi_6
Youtube: Faraji Mwizagi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Daniel Maguge

Music

DANIEL MAGUGE EP

By January 19, 2021

TRENDING

To Top