Connect with us

VIDEO: Nakupenda Yesu – Lawrence Itare | Download

Video

VIDEO: Nakupenda Yesu – Lawrence Itare | Download

VIDEO: Nakupenda Yesu - Lawrence Itare | Download

Kutoka Jijini Arusha leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri wa kuabudu unaoitwa NAKUPENDA YESU kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Lawrence Itare.

“Ni kama Maombi kwa Mungu, anifanye kuwa mtakatifu, Nakuamini kwamba amesikia maombi yangu, makosa yangu ameyafuta, baraka amenishushia, na ufalme wake nitaufikia.” – Lawrence Lorax alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Lawrence Itare wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 683 865 359
Facebook: Lawrence Itare
Instagram: @lolax206
Youtube: Kikumbo Sound

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,419 other subscribers

To Top