Connect with us

VIDEO: Meshack Alphonce – Muite Mungu | Download

VIDEO: Meshack Alphonce - Muite Mungu | Download

Audio

VIDEO: Meshack Alphonce – Muite Mungu | Download

VIDEO: Meshack Alphonce - Muite Mungu | Download

Meshack Alphonce ni mwimbaji mpya katika tasnia ya muziki wa Injili nchini Tanzania na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa Muite Mungu.

Katika wimbo huu mtumishi wa Mungu Meshack Alphonce anatukumbusha kuwa Yesu Kristo ndio kimbilio letu kuu kwakuwa hakuna linalomshinda, Usikate tamaa bali wakati wote uamini Bwana Yesu ili aweze kuyatengeneza maisha yako, kulinda hadhina yako na kubarikiwa.

Karibu kutazama video ya wimbo huu, Barikiwa!

Kwa mawasiliano zaidi na Meshack Alphonce wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 718 757 186
Facebook: Meshack Alphonce
Instagram: @meshackalphonce
Youtube: Meshack Alphonce

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top