Connect with us

VIDEO | Makala ft. Ester Shilla – Acha Niimbe

Video

VIDEO | Makala ft. Ester Shilla – Acha Niimbe

VIDEO: Makala ft. Ester Shilla - Acha Niimbe | Download

Kutoka Tanzania kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya ya wimbo mzuri unaoitwa Acha Niimbe kutoka kwa mtumishi wa Mungu Makala akiwa amemshirikisha mwanadada Ester Shilla.

“Acha niimbe ni wimbo unaoelezea uweza wa Mungu kwa yale yote aliyo tutendea katika maisha yetu. Karibu kutazama video ya wimbo huu na kumsifu Mungu pamoja na mimi, Pia usiache kushare kwa watu wengi uwezavyo na Mungu atakubariki sana. #Achaniimbe. ” – alisema Makala

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Makala wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 003 077
Instagram: @diplomaticpastor_makala
Youtube: Makala Entertainment

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

AUDIO | Ziyase - Shalapo

Audio

AUDIO | Ziyase – Shalapo

By February 26, 2020

KALI ZA WIKI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,808 other subscribers

To Top