Connect with us

VIDEO: Komando Wa Yesu – Pipipii | Download

Video

VIDEO: Komando Wa Yesu – Pipipii | Download

VIDEO: Komando Wa Yesu - Pipipii | Download

Kwa mara nyingine tena kutoka jijini Dar es salaam tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa PIPIPII kutoka kwa Komando Wa Yesu.

“Maono ya wimbo huu yametokana na wimbo uliotangulia MOYO wengi walibarikiwa na neno PIPIPII, Wakanisihi nitunge nyimbo nyingine yenye maono ya ‘PIPIPII’. Basi nimemsikiliza MUNGU na nimewaletea nyimbo hii, Usisahau ku-subscribe..” – Komando wa Yesu alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utaguswa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Komando wa Yesu kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 679 772 248
Facebook: Komando wa Yesu
Instagram: @komandowayesu
Youtube: KOMANDO WA YESU

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

JIUNGE NASI

Jiunge na jukwaa la gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 14,056 other subscribers

Akawaambia, Nendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.Marko 16:15 – 16

To Top