Connect with us

VIDEO | Jonathan Mwakajila ft. Hellen – FLY HIGH

Audio

VIDEO | Jonathan Mwakajila ft. Hellen – FLY HIGH

VIDEO: Jonathan Mwakajila ft. Hellen - FLY HIGH | Download

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Jonathan Mwakajila kwa mara ya kwanza kabisa katika mwaka 2019 ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa FLY HIGH akiwa amemshirikisha mwanadada Hellen.

“Niliandika wimbo huu kwa sababu Mungu ndiye anayetuwezesha kupaa juu kwa mbawa kama Tai.” – alisema Jonathan Mwakajila

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jonathan Mwakajila wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 710 586 789 au +255 655 353 726
Facebook: Jonathan Mwakajila | Instagram: @jonathanmwakajila
Email: j.mwakajilz@gmail.com
Youtube: JONATHAN MWAKAJILA

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top