Connect with us

VIDEO: Jessica (J Sisters) – Ombi Langu | Download

VIDEO: Jessica (J Sisters) - Ombi Langu | Download

Audio

VIDEO: Jessica (J Sisters) – Ombi Langu | Download

VIDEO: Jessica (J Sisters) - Ombi Langu | Download
Kwa mara nyingine tena kutoka Tanzania tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa OMBI LANGU kutoka kwa mwanadada Jessica akiwa moja kati ya waimbaji wanaounda kundi la J Sisters.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Jessica wa J Sisters kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 758 299 425
Facebook: J sisters
Instagram: @official_jsisters
YouTube: Official J Sisters

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top