Music
VIDEO: Japhet Zabron – Salimia Watu | Download
Japhet Zabron mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania leo ametusogezea video yake mpya ya wimbo unaoitwa SALIMIA WATU.
Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri na hakika utabarikiwa, Amen.
Kwa mawasiliano zaidi na Japhet Zabron wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 755 778 378
Facebook: Japhet Zabron
Instagram: @japhetzabron
Youtube: Zabron Singers
