Connect with us

VIDEO: Janet Jimmy – Mwamba | Download

Video

VIDEO: Janet Jimmy – Mwamba | Download

VIDEO: Janet Jimmy - Mwamba | Download

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako Janet Jimmy na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa MWAMBA.

“Unaposikiliza wimbo huu ninaomba YESU KRISTO mwenyewe aliye MWAMBA IMARA na jiwe kuu la pembeni akaguse maisha yako wewe ambaye hujafanyika mwana pamoja naye UTU wako wa ndani ukafanywe upya na ukapokee haja ya moyo wako sawa sawa na mapenzi yake, amesema anayajua mawazo anayotuwazia, Yeremia 29: 11-14. Na mpango wake ni kila mmoja aifikie Toba, Amen.” – alisema Janet

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Janet Jimmy wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 716 587 782
Facebook: Janet Jimmy
Instagram: @janetjimmy
Youtube: Janet Jimmy

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top