Connect with us

VIDEO: Florence Andenyi – Jina Lako | Download

Video

VIDEO: Florence Andenyi – Jina Lako | Download

VIDEO: Florence Andenyi - Jina Lako | Download

Kwa mara nyingine kutoka nchini Kenya leo tumekusogezea video mpya ya wimbo unaoitwa JINA LAKO kutoka kwa mwimbaji mahiri akijulikana kama Florence Andenyi.

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa na kuinuliwa kwa namna ya pekee, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Florence Andenyi
Instagram: @florencendenyi
Twitter: @andenyiflorence

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,013 other subscribers

To Top