Connect with us

VIDEO: Edson Oisso – Usiulize | Download

VIDEO: Edson Oisso - Usiulize | Download

Audio

VIDEO: Edson Oisso – Usiulize | Download

VIDEO: Edson Oisso - Usiulize | Download

Edson Oisso ni mwimbaji mpya katika tasnia ya muziki wa Injili kutoka jijini Mwanza Tanzania na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa USIULIZE.

“USIULIZE ni wimbo unaotukumbusha habari njema za Yesu Kristo, Pia kutukumbusha kujiandaa na siku za mwisho kama Biblia inavyotukumbusha.” – Edson Oisso alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Edson Oisso wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 784 779 033
Facebook: Edson Oisso
Instagram: @edsonoisso
Youtube: Edson Oisso

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top