Connect with us

VIDEO: Edson Mwasabwite – Kitu cha Heshima | Download

Video

VIDEO: Edson Mwasabwite – Kitu cha Heshima | Download

VIDEO: Edson Mwasabwite - Kitu cha Heshima | Download

Kutoka kwenye album mpya inayoitwa PAMBANA Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video mpya inayoitwa Kitu cha Heshima kutoka kwa Edson Mwasabwite akiwa ni moja kati ya waimbaji wakongwe katika tasnia ya muziki wa Injili nchini Tanzania.

Karibu kutazama video hii na hakika kuwa utabarikiwa na kuinuliwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Edson Mwasabwite wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 703 415
Facebook: Edson Mwasabwite
Instagram: @edsonmwasabite
Youtube: Edson Mwasabwite

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,514 other subscribers

To Top