Connect with us

VIDEO: Dr. Ipyana – Nashangazwa (interlude) | Download

VIDEO: Dr. Ipyana - Nashangazwa (interlude) | Download

Music

VIDEO: Dr. Ipyana – Nashangazwa (interlude) | Download

VIDEO: Dr. Ipyana - Nashangazwa (interlude) | Download

Kutoka kwenye albamu yake iitwayo IBADA kwa mara nyingine tena katika mwaka 2019 mtumishi wa Mungu Dr Ipyana ameachia live video yake ya sita iitwayo Nashangazwa (interlude) hii ikiwa ni marudio ya wimbo wake wa nne ulio katika album hiyo ambapo sehemu hii ilirekodiwa pale ambapo Roho Mtakatifu alipotaka wimbo huo urudiwe na hapo ndipo iliporekodiwa sehemu fupi ya video hiyo.

Hili ni tukio la pekee lililofanyika mubashara wakati akirekodi moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye albamu hiyo aliyoiachia septemba 2018.

“In the process of live recording on song number 5 Holy Spirit insisted to go back to song number 4 on Ibada live cd and when we obeyed these were results..” – Dr. Ipyana alisema

Albamu hii imerekodiwa nchini Tanzania na kufanyiwa maboresho(mixing na mastering) ndani ya studio ya Job Audios iliyopo Pretoria nchini South Africa.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo kwa hakika itakubariki na kukuinua kwa viwango vya juu sana, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na wasiliana na Dr Ipyana kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 625 791 741
Facebook: Dr. Ipyana Kibona
Instagram: @dripyana
Youtube: Dr Ipyana

1 Comment

1 Comment

  1. Anonymous

    September 8, 2019 at 11:17 pm

    Mbona siwezi download video?

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,669 other subscribers

To Top