Connect with us

VIDEO: Desau Mwaweza – Nafsi iliotengwa ft. Bebycia | Download

Audio

VIDEO: Desau Mwaweza – Nafsi iliotengwa ft. Bebycia | Download

VIDEO: Desau Mwaweza - Nafsi iliotengwa ft. Bebycia | Download

Desau Mwaweza ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania na hii ni video mpya ya wimbo wake unaoitwa Nafsi iliotengwa akiwa amemshirikisha mwanadada Bebycia.

Karibu kutazama video ya wimbo huu mzuri ambao ni hakika kuwa utabariki na kukuinua, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Desau Mwaweza wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 636 367
Facebook: Desau Mwaweza
Instagram: @desaumwaweza
Youtube: Desau Mwaweza

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top