Connect with us

VIDEO: Charls Benjamin – Chapaa | Download

Video

VIDEO: Charls Benjamin – Chapaa | Download

VIDEO: Charls Benjamin - Chapaa | Download

Charls Benjamin ni mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania na hii ni video yake mpya kuachia ya wimbo unaoitwa CHAPAA.

“Jina la Yesu ni fimbo tunayoitumia kuchapia Magonjwa, Mapepo, Majini, Wachawi na wengine wote ambao wako kinyume na ufalme wa Mungu.” – Charls Benjamin alisema

Karibu kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na Charls Benjamin wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 757 939 817
Facebook: Charls Benjamin Cbm
Instagram: @charlsbenjamin_cbm
Twitter: @daudimwanisenga
Youtube: Charls Benjamin Cbm

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Advertisement

ZINAZOPENDWA ZAIDI

JIUNGE NASI

Jiunge na gospomedia.com ili uwe wa kwanza kupokea nyimbo za Injili kila siku kupitia barua pepe.

Join 15,369 other subscribers

To Top